Mabint wanaobeba MIMBA...makusudi kama kigezo cha Kuolewa..!!!!!!

Maisha yeshakuwa magumu, ktk mahusiano uaminifu ni mdogo, watu/wadada wapo very strategic, wana mbinu nyingi sana pamoja na kutegesha mimba!
 
Asante kwa kutonipa msaada... na usiku mwema.. Sikuja hapa kufundisha ila kuhitaji msaada... .. hooooooooooo

Kaaazi kweli kweli!!

Ukija na madai uwe na uthibitisho wa madai yako.Na kama huna/huwezi kutetea madai yako ni vizuri ukauliza badala ya kueleza kitu ambacho hata wewe mwenyewe hujui!!

Na kama unataka msaada uwe tayari kuwaelewesha wale unaohitaji msaada wao ili wasikurupuke tu kujibu...badala ya wewe kukasirika kwa vidole!
 
hapa nataka kusema kuwa wewe mwanaue ata kama wataka kuonyesha uwanaume wako wewe chakachua tuu na condom......usipotumia condom basi wewe demu akija na mimba yako basi kubaliana na matokeo ya uzembe wako!!!
 
Huo ni umalaya tu wa wanaume ndio unaosababisha hayo yote. Wee mwanamke au binti anajileta kwako na unaona kabisa humuitaji kwa malengo yoyote yale sa kwa nini ufanye nae mapenzi? Huo ni ukosefu wa msimamo na ndio ambao umesababisha ndoa nyingi zisizotarajiwa tatizo wanaume wengi wa sasa wametaliwa na fikra za ngono kiasi cha kushindwa kusema no kwenye kamtego kadogo tu. Kwa hiyo hapo wa kulaumiwa ni mwanaume kwa sababu ya kokosa msimamo kwani angesema no huyo mtoto angetokea wapi?
 
dada ni nini hasa ambacho wewe huelewi nakimaanisha????????? nakushangaa.. badala kurahisha mada ..waigumisha
 
Mtoto ni muunganiko wa baba na mama, so kama mimba imetokea nyote wawili ni responsible. Ni jukumu la wote wawili kupanga uzazi wa mpango na si la mwanamke tu, mie naishangaa mibongo mwanamke akipata mimba lawama zinakwenda kwa yeye as if alido pekeyake. Wakati mwingine wanaume ndo wanakuwa responsible kwasababu ikishakuwa kwenye ashiki mibishi hailelewi kitu ikiambiwa tumia zana haitaki.
 
hapa nataka kusema kuwa wewe mwanaue ata kama wataka kuonyesha uwanaume wako wewe chakachua tuu na condom......usipotumia condom basi wewe demu akija na mimba yako basi kubaliana na matokeo ya uzembe wako!!!

wewe ni "ke" au "me"
 
hatuwezi kwasababu... twategemea ninyi mwatueleza nini From the very first tym... You know what I mean.. ur cycle!!!!!

Kwanza si wote wenye cycle inayoeleweka, pili kujua cycle haimaanishi uhakika wa kuwezazuia mimba. Hivi impact ya climate change unafikiri imetuepa sisi? Na haya machakula, mafuta ya siku hizi yaani tunaexperience changez kibao
 
Huo ni umalaya tu wa wanaume ndio unaosababisha hayo yote. Wee mwanamke au binti anajileta kwako na unaona kabisa humuitaji kwa malengo yoyote yale sa kwa nini ufanye nae mapenzi? Huo ni ukosefu wa msimamo na ndio ambao umesababisha ndoa nyingi zisizotarajiwa tatizo wanaume wengi wa sasa wametaliwa na fikra za ngono kiasi cha kushindwa kusema no kwenye kamtego kadogo tu. Kwa hiyo hapo wa kulaumiwa ni mwanaume kwa sababu ya kokosa msimamo kwani angesema no huyo mtoto angetokea wapi?
 
dada ni nini hasa ambacho wewe huelewi nakimaanisha????????? nakushangaa.. badala kurahisha mada ..waigumisha

Hichi ndicho ambacho sielewi
Mtoto nae anapotelekezwa ni kwa kosa la nani?!

Hiyo mimba inategeshwa vipi mpaka mwanaume ajione hakua responsible kwenye kuitunga?!

Mwisho kabisa...hivi uanaume ni kutembea na yeyote anaekuchekea?!

Kama ungeweza kujibu maswali yangu tungekua kwenye ukurasa mmoja.
Kupata mimba kunatokana na tendo kati ya mwanamke. na mwanaume...na kama inahitaji watu wawili kufanikisha hilo jambo basi wote wawili ni responsible.Acha visingizio sijui wa “kajibebesha“...kwani ulishikiwa mtutu?!Hukua na akili timamu kwa wakati huo?!Hukua na maamuzi ya either ufanye au usifanye...uwe mwangalifu au usiwe?!
 
wewe kama sio king'ang'anizi hongera.. ila elewa kwamba.. wenzako wanashikilia kama "SUPERGLUE"... mpaka kieleweke
 
dada ni nini hasa ambacho wewe huelewi nakimaanisha????????? nakushangaa.. badala kurahisha mada ..waigumisha
<br />
<br />
Mfafanulie aelewe, yaelekea uliyo yaandika hayajamtosheleza kuweza kukubaliana na hoja yako. Hebu mfafanulie kwa undani ili aweze kukubwa ushauri wa kina, usiwe mwepesi wa kukata tamaa ama kukasilika, ni kawaida sana! Mfafanulie mwenzie kwa undani zaidi unataka msaada gani!
 
hujawahi kutana na wenzako wanatabia ya hili nililolileta hapa jukwaani.. na ukawashauri kwa uchungu lakini bado hawakukuelewa.... mpaka wakabeba mimba.. kama wapo kawaulize .. how they did it?
 
I think I need privacy na yeye....!!!!!!!?????
 
I think I need privacy na yeye....!!!!!!!?????
<br />
<br />
Hakuna haja ya privacy coz hayo maswali yake ni mhm hata kwetu! hebu jaribu kumjibu naye utamfungua ajibu vyema na kwa usahihi!
 
Alaumiwe mwanaume mzembe, asiye jiheshimu, ambaye hatumii condom!
 
Hivi kweli na wewe kidume kizima, unaona kabisa huyu binti ni wizi mtu kwa maana ya kuwa tokea mwanzo alikuwa less interested with you, but suddenly ameanza kuonyesha interest. Do you real need to be a rocket scientist to know that the woman is desperate for a man to marry her at any cost? Yaani kaa mbali na mabinti ambao wako desperate na kuolewa hakika utawekwa kwenye mitego hadi utategeka.
 
hujawahi kutana na wenzako wanatabia ya hili nililolileta hapa jukwaani.. na ukawashauri kwa uchungu lakini bado hawakukuelewa.... mpaka wakabeba mimba.. kama wapo kawaulize .. how they did it?

Sijawahi!!
Na kwasababu wewe ndio mtoa mada nilitegemea utakua na majibu but I guess I was wrong!
 
Ni kweli wanawake wanaweza wakawatega wanaume kwa hili , mwanamke anaweza akam time mpenzi wake akijua kabisa muda huu hana condom
au iko mbali kidogo plus desire ya wanaume kwenye hii inshu ndo inawaongezea uraisi .
Hata ukisema utachomoa during ejaculation , hawa watu have more power and control of minds wakati wa hilo game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…