<br />
<br />
1.walio wengi humu ni wake za watu.
2.Jf imekaa kuelimisha zaidi kuliko kutafuta umbea, hata love connect unaweza kukuta topic mmoja inakaa mwezi mzima bila kuchangiwa/mtu kujitokeza, michango inayotolewa hulenga kumpa darasa badala ya watu kujitokeza zaidi.
3.Jf watu hawaweki picha zao mara nyingi huchagua avatar wanazopenda, lakini fb hujiuza zaidi.