Mabinti huwa mnahitaji nini?


good analysiss but what are the LIMITS?
 

Bora umekua mkweli,nimeipenda hii!Nawapenda wakweli kama wewe,jitahidini wengine muwe wakweli!Mrahisishe kazi yetu wanaume!
 
nafikiri hujasoma hadi mwisho. Soma ile paragraph ninayoelezea wanaume msikimbilie kusolve problems. Hakuna sehemu inayohusisha pesa pale.
 

true Husn. I think effectiveness na personality unaweza kumpa kila kitu ila ukamsimanga kwenye chakula au hali ya familia aliyotoka hatoona umuhimu wako, kumdharau katika view zake, kwasababu ya huduma zote unazompatia kwa pesa anazotaka, kumuingilia katika uhuru wake kama mama mwenye nyumba na mengine mengi ambayo pia vs kwamwanaume kupatiwa katika mahusiano yakimapenzi.
 
mimi nahitaji upendo tu basi! Changamoto inakuja, ni ngumu kumjua nani mwenye upendo wa dhati.
 
mimi nahitaji upendo tu basi! Changamoto inakuja, ni ngumu kumjua nani mwenye upendo wa dhati.

Ni rahisi kusema hivyo,nina ushahidi wa mimi mwenyewe nilimpa upendo wa dhati dada mmoja hivi mwaka 2004 matokeo yake akanidharau!Ndo maana siwaelewi mnachotaka!
 
Ni rahisi kusema hivyo,nina ushahidi wa mimi mwenyewe nilimpa upendo wa dhati dada mmoja hivi mwaka 2004 matokeo yake akanidharau!Ndo maana siwaelewi mnachotaka!
Huyo alikuwa hajakupenda. Lazima upendo uwepo pande zote mbili.
 
Reactions: BAK
Huyo alikuwa hajakupenda. Lazima upendo uwepo pande zote mbili.
Hujui Karen ndo maana unasema hivyo,ila mwanzo haikuwa hivyo mambo yalibadilika baada ya nilipozidisha kucare,nilifanya hivyo kutokana kumjali nae alikuwa ananijali wakati huo!
 
ni kweli wengi hawajui,wanaingia kwenye mapnz kufanya majaribio ya maisha pia wana taka maisha yaende straight s'thing which z impocbo in lyf...co wavumilivu,they dnt knw hw to bear with their men,hw to satisfy them,hw to serve them,hw to stand 4 their relationships,hw to tek care of their men etc....n they blv break up ni fasheni au ni solution ya their problems....wanaish kimovie zaid
 
Hujui Karen ndo maana unasema hivyo,ila mwanzo haikuwa hivyo mambo yalibadilika baada ya nilipozidisha kucare,nilifanya hivyo kutokana kumjali nae alikuwa ananijali wakati huo!

Mhhh...ni kweli kabisa! Ila ninaamini ukiwepo upendo wa dhati pande zote mbili, kwangu mimi mengine ni ziada tu! Otherwise pole sana ndugu!
 

Mkuu uuhf let give u my real example I loved the man way back collegue 2003 yaani hana kitu na alikuwa mtt wa mkulima love was in the air tulishare every thing na starehe yoyote hatuafford zaidi ya bed! tukamaliza chuo kuingia mtaani nikamtafutia gheto chumba na sebule, yaani I did ever thing from being his housemaid, to being his bitch on bed! akapata kazi alioanza kuzishika tu jamaa alikuwa haeleweki yaani nilivumilia emotional breakups like two years then I gave up after six to seven yrs! will never forget na kila nikimuona naumia as yuko njema sana me kawaida tu, I hate that alinipotezea muda na kunipa kazi ya kutrust tena, soo may be wakaka nao wa kikulima wakitoka vizuri they want to justify their position in the world which their parents did nt give them in childhood! sor guyss bt ni sana tu nowdayz
 
<br />
<br />



Duuuu,Full Hekima Mkuu!! Tuishi nao kwa akili tu!!!
 
 
mwanamke hutakiwi kumwonyesha unampenda akigundua tu anaanza kukupelekesha, unatakiwa kumpotezea kila jambo na hapo mtadumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…