Mabinti kwenye facebook hawajui kusema no!

Hizo picha zimenishtua hayse
 
kwani mabinti tu....mbona hata vijanaume vya fb havijatulia
 
Nayeye anaewatongoza, utulivu zero!! Ikitokea mkewe akayabamba hayo matongozo, itakuwaje?

umeona eeh! Wote utulivu zero. Mi nataka nifanye research ya wanaume wa jf kama wametulia au la.
 
si kusema NO tu hawajui bali wengi wao ndo hutoa tongozo!!!mimi nawaektia basi dah!!!!nimeamua siku hizi siaccept marafiki wa kiume.....imekuwa kero yaani ukiwa na kiumaarufu na picha za kuwadanganyia!
 
Utulivu sifuri..sio wote wana akili hiyo labda wale ambao wapo kibiashara huko FB!
 
Wewe si ndo ulikuja na thread kuhusu mkeo.NGOJA NAENDA Mwambia kuwa unatongoza nje.

Mwenzangu! Ndio maana hata mkewe akaamua kumchuna, maana ashamwona hajatulia na ni nguchiro, mweh!
 
umeona eeh! Wote utulivu zero. Mi nataka nifanye research ya wanaume wa jf kama wametulia au la.

usijali shosti, sample ya kwanza huyu huyu mtoa maada. Ni juzi tu alirusha nyuzi akimzungumzia mkewe, sasa leo anaenda kutongoza wadada facebook ili iweje?? Labda atuambie kama alikuwa anafanya research na yeye!
 
na unavyotupenda wote mi na yule dawa! Au una mapepo na madawa ww? Kwani hata miziz ni dawa!

hahahaha! Mwanaume una wivu wewe.
Ukipenda mtoto mzuri hutakiwi kuwa na wivu. Lol
 
usijali shosti, sample ya kwanza huyu huyu mtoa maada. Ni juzi tu alirusha nyuzi akimzungumzia mkewe, sasa leo anaenda kutongoza wadada facebook ili iweje?? Labda atuambie kama alikuwa anafanya research na yeye!

nitaletea matokeo ya research mwezi ujao ila kwa jinsi ninavyoona hakuna aliyetulia.
 
sijaonaga!!
 
si kusema NO tu hawajui bali wengi wao ndo hutoa tongozo!!!mimi nawaektia basi dah!!!!nimeamua siku hizi siaccept marafiki wa kiume.....imekuwa kero yaani ukiwa na kiumaarufu na picha za kuwadanganyia!

Samahani sana naomba kujua, wewe ni mwanaume ama mwanamke?? Samahani muuza sura nijibu pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…