Mabinti na wamama nisaidieni!!!!

Una mabwana wangapi?
 
romance ni tamu bana mtu likitwangwa tangwa tu hata kama ni kubwa au ndogo ananichosha tu hata siwezi kumkumbuka badae

issue ni kwamba na wewe uwepo katika mkao huo wa romance basi!!!!!wakati mwingine mwanaume anashindwa kukupa romance kwasababu wewe mwenyewe haupo katika mapozi hayo, upo upo tu kama zigo la senyenge!!!!!!!
 
Naunga mkono romance yenye kuzama mgodini uvinza. Hata kama ni kabamia utakumbukwa tu.
 
hhaaaa wengine hata ukilegea wenyewe wanakakama kama vibamia woi ni michosho tu
issue ni kwamba na wewe uwepo katika mkao huo wa romance basi!!!!!wakati mwingine mwanaume anashindwa kukupa romance kwasababu wewe mwenyewe haupo katika mapozi hayo, upo upo tu kama zigo la senyenge!!!!!!!
 
mmmmh rose we ni kiboko hakiyamungu natamani nikuone live.
 
Nashindwa kuelewa wanaume wanachangia hii thread kwa sababu gani wakati walioulizwa ni wanamama,ni bora tukakaa kimya tuwaachie uwanja ili sisi tufaidike na ujuzi na kuona wao wanatuchukuliaje na wanataka nini kutokana na maumbile yetu.
 
taratibu mkuu, wanaume wanaangalia tu kama itifaki imezingatiwa humu!!!!!
 
inabana inahuuu ngoja niwahi dozi zangu wapi ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…