Mabinti wa Arusha tuungane mkono

Mabinti wa Arusha tuungane mkono

ladyfocus

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
968
Reaction score
711
habari zenu. Mwenzenu nimeamua kujiajiri kwa kufungua saluni ya kike. Nasuka na kushonea weaving mitindo yote. Pliz wadau wa arusha karibuni sana jamani mniunge mkono mwenzenu. Kwa mawasiliano niPm ntakutumia namba. Asanteni na karibuni sana.
 
orait orait.....haya sasa.....sema upo wapi tukuvamie kama nyuki.........unaweza kuweka lace wig vizuri....?.....facial unafanya......?...manicure na pedicure je.........?
 
ahahahaaa Preta umenchekesha sana na orait, nway nashonea tyu maweaving na kusuka mitindo mingne. Lec wig sina utaalam huo ncje kukuharibu bureee, ila incase of mengne yo welcom mwaya.
 
Nimeamini wanawake hampendani kisa cha kutoa majibu mabovu kama utaki kuchangia pita kimya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
orait orait.....haya sasa.....sema upo wapi tukuvamie kama nyuki.........unaweza kuweka lace wig vizuri....?.....facial unafanya......?...manicure na pedicure je.........?

muulize kama anatengeneza dreads.
 
Kazi Kwetu wanaume wa Arusha mda wa kuchunwa noti ya kwenda saloon alfu jamaa mwingine amtoe out..WTF
 
habari zenu. Mwenzenu nimeamua kujiajiri kwa kufungua saluni ya kike. Nasuka na kushonea weaving mitindo yote. Pliz wadau wa arusha karibuni sana jamani mniunge mkono mwenzenu. Kwa mawasiliano niPm ntakutumia namba. Asanteni na karibuni sana.
Hongera
 
Back
Top Bottom