sema iko sehemu gani? hapo.arusha
orait orait.....haya sasa.....sema upo wapi tukuvamie kama nyuki.........unaweza kuweka lace wig vizuri....?.....facial unafanya......?...manicure na pedicure je.........?
mbona hajataja wanaume wanaofuga nywele?
orait orait.....haya sasa.....sema upo wapi tukuvamie kama nyuki.........unaweza kuweka lace wig vizuri....?.....facial unafanya......?...manicure na pedicure je.........?
muulize kama anatengeneza dreads.
mbona hajataja wanaume wanaofuga nywele?
Nani akuungee mkono...Nendaa hospital...
Saloon itakuwaaa hiyooooo....
unataka nawe ufanyiwe huduma hiyo?
nimekumiss sana ndugu yangu pls kumbe uko huko
Hongerahabari zenu. Mwenzenu nimeamua kujiajiri kwa kufungua saluni ya kike. Nasuka na kushonea weaving mitindo yote. Pliz wadau wa arusha karibuni sana jamani mniunge mkono mwenzenu. Kwa mawasiliano niPm ntakutumia namba. Asanteni na karibuni sana.