NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto hasa wa kiume, wanaume zao wanakufa ghafla!!! ni kwa nini? Pia Kwa nini WAKAKA wengi wa kichaga hawapendi kuwaoa wachaga wenzao? plz nisaidien kwa hili!!
sitakagi kuamini hizi story za ukabila kwenye mahusiano
nachojua people get maaried because tey love each other
unles uniconvince vile mioyo ya wadada wa kichaga na 'wapale' iko choosy kikabila,then iyo analysis yako si sahihi
Nani alioa mchaga halafu akafa baada ya mali kupatikana? Acha urongo we na nani kakudanganya hizo habari? Unakuja unaandika tu wachaga wachaga, njoo tukupe mbege unywe maana naona ukiu ya kichaga.
Nani alioa mchaga halafu akafa baada ya mali kupatikana? Acha urongo we na nani kakudanganya hizo habari? Unakuja unaandika tu wachaga wachaga, njoo tukupe mbege unywe maana naona ukiu ya kichaga.
Kuhusu kuwapenda/kuwa/olewa na hao wakaka unaowasema labda kwasababu ni wajanja/wanaendana/shibana n.k.Kuhusu kuua waume hayo ni maneno tu ya watu wasio na kazi za kufanya...kuhusu wakaka wa Kichagga kutowaoa wadada wa Kichagga huo ni uongo tu sijui mnautoa wapi maana wajomba na kaka zangu si chini ya kumi wameoa Uchaggani!
Hata hivyo kama unayosema yangekua ya kweli especially namba moja na mbili bado sioni tatizo liko wapi.Wewe na wenzio sijui kinawauma nini maana hamna anaeumia.Au kwasababu wewe sio wa sehemu hizo hivyo karoho kanakuuma kwa kudhani una nafasi ndogo?!Jaribu bahati yako....kama wewe ni binadamu usie na kasoro zisizo za kawaida ..mwenye mwelekeo na anaeeleweka waweza pendwa tu kama wengine maana hatuna kitabu cha kutuongoza kujua kabila gani la kupendwa na lipi la kuachwa....
Kuhusu kufa hilo sitaki kuamini. Ila kuolewa na hao wa kanda ya ziwa siwezi shangaa. Navyoona ni kuwa wadada wa kichaga wanajua tabia za kaka zao through life experience. Kwa ufupi nimesikia wadada wa kichaga wakiwabonda kaka zao kwa hiyo wana wadisqualify kuwa si wame wazuri sitaki kwenda deep kusema tabia walizo nazo hao makaka zao.
Ila kuwatetea hao makaka zao naweza sema ni kawaida kuku ukimchunguza huwezi kumla. Hata mimi natokea mkoa mmoja wa kanda ya ziwa na niliapa kuwa sitakaa niolewa na mtu wa kwetu kwa kuwa nawajua vizuri. Kuna mdada ameolewa na mkaka mtu wa kwetu basi ananilalamikia sana wewe kaka zako washenzi. Mimi nawatetea huku kimoyomoyo nasema hujiulizi kwa nini mimi niliwakimbia.
Kwa hiyo nimeona cases nyingi sana hapa mjini wadada hawapendi kuolewa na watu wa kwao kwa kuwa wanajua weakness zao.
Ila jamani kizuri kula na mwenzio wanaume wa kisukuma wako juu. Mimi si msukuma ila my life mate is. Wanajua kupenda hawa watu. Kwa wale ambao mko single naomba niwape hiyo siri. Niliwakimbia kaka zangu nikaenda kwa wasukuma basi hata kazini walikuwa wananitania kwa chaguo nililolifanya. Wananambie NK wapenda kupendwa wewe. Wanapenda sana na hawana mapenzi ya siri wako open kama wadhungu vile.