Mabinti wa leo

yote yako mikononi mwa Dena.................!
kama ataamua mkaikung'ute kwa mashoping ya kufa mtu ntafanyaje bana....................!
Ila Dena ninachompendea anahurumia sana senti zangu.................!

Na kukujali masilahi yako pia
 
yote yako mikononi mwa Dena.................!
kama ataamua mkaikung'ute kwa mashoping ya kufa mtu ntafanyaje bana....................!
Ila Dena ninachompendea anahurumia sana senti zangu.................!

sawa mkuu,mimi nina huruma pia....l.o.l
 
Sawa my Love usijali nitatumia ikipungua naingia kuvuta nyingine ila usisahau basi ile ahadi yangu ya kwenda sinema Mlimani leo kuna ile picha nayoipenda sawa dear???

sawa baby basi ngoja mm nilale maana sina pesa yakuendea mahali...............!
ila kuwa makini na ATM card hiyo si unajua muda sio mrefu natakiwa nikakulipie mahari na pesa za mahari pia zimo humu humo.............!
 
usiwaonee watoto wa kike, kwani sasa hivi kuna wanaume wangapi wanaohudumiwa na wanawake? kosa lenu wanaume ni moja, mnashindwa kuidentify what u need and deserve, coz unamtaka mwanamke wa class ya juu kushinda uwezo wako akikataa unaanza kucoment kuwa wanapenda hela, and by the way mahitaji uliyomension hapo juu ya saloon n.k ni vitu vidogo mno ambavyo kwa mwanamke mwelewa hawezi kuvidai, coz ni vitu muhimu kwa mtoto wa kike ka kupumua vilee, last but not least kuna wanawake tunajitegemea na kufanya mambo yetu kwa support kutoka kwa wazazi wetu.
 
Thank you very much!!!
 
Hapa mnajadili nini? Kuna mtu kaniona mlima zunzu au cleaner? I have unfinished bussiness with them!

Nipo unazungumzia kwa yule dada??? Hana hamu tena na mwanaume ile kitu kamaliza.

Naona leo wakina dada na mama zangu wamekuwa wakali humu.

Wamama na kina dada mie nawapenda sana poleni kwa yote na punguzeni hasira maana naamini asilimia kubwa humu hatujuani (Im ready to be corrected)
 
Kweli kabisa wanawake ni mama zetu
 
sawa baby basi ngoja mm nilale maana sina pesa yakuendea mahali...............!
ila kuwa makini na ATM card hiyo si unajua muda sio mrefu natakiwa nikakulipie mahari na pesa za mahari pia zimo humu humo.............!

Sawa dear pumzika salama
 
Well said thanx umenena
 
Asee nimekutafya sana! Kwa hiyo mambo yalienda kama tulivyosema! Sasa mwambie aje asome sheria mama za infi! Ivi mlima zunzu we ni she au he? Wanichanganya ujue? I have something for u!
 
Mkuu umepiga ikulu,..
Yaani wanapoteamno!! inasikitisha kuona sikuhizi mabinti kuwa na mijbaba yenye wake na watoto eti ni jambo lakwaida!! Upuuzi mtupu!
Baadae wakikosa kuolewa wanaanza kuona nilaana kumbe CV zaozimechafuka!
 
Asee nimekutafya sana! Kwa hiyo mambo yalienda kama tulivyosema! Sasa mwambie aje asome sheria mama za infi! Ivi mlima zunzu we ni she au he? Wanichanganya ujue? I have something for u!

Alifata ushauri na zile sheria nilizipata kwenye thread fulani nikamprintia alifurahi sana. Hiyo something na hamu nayo lakini naona kama na wewe ni he??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…