aaahhh yeye yeye eeeehh...!!!!! aiseee ningekuwa mkubwa, mcheki huyo chalii mwenye suti anaangalia nini, ha haa..halafu mikono yake kaweka nyuma , ana-imagine what it contained..!!!
Kama si o mmoja au wote,walipokuwa wajawazito walikwend kudeliver their babies in GERMANy.
Kisa ni kwamba M7 hakuamani madokta UGANDA kwa usalama wa mabinti wake.