Unaposema huyu ya JK anafanana naye kila kitu una maana gani? Sura au na matendo pia?
Naye anapenda kusafiri nje ya nchi mara kwa mara?
Mie nadhani kwa sura tu.Huyu binti wa JK namkubali, hana makuu, yupo so quiet, siyo kama pedeshee Riz! Matangazao kila kona!