Mabinti wa Veta Mtwara ni hatari

Nakatisha ndoto zao kivipi tena?
Msanga ipi? Zalala au sokoni? Napajua vizuri sana huko ndo nyumbani kwao na Bimkubwa wangu.
 
Nakatisha ndoto zao kivipi tena?
Msanga ipi? Zalala au sokoni? Napajua vizuri sana huko ndo nyumbani kwao na Bimkubwa wangu.
Duuuh hatari hyo mpaka zalala na sokomi mkuu basi we ni mwenyeji bana...
🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂 Hapa sina mengi aisee nikajua naongea na mgeni wa huku kwetu
 
Duuuh hatari hyo mpaka zalala na sokomi mkuu basi we ni mwenyeji bana...
🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂 Hapa sina mengi aisee nikajua naongea na mgeni wa huku kwetu
Huko nyumbani kabisa mkuu namjua kila mtu huko hadi Ngongere , Malui kote kwangu huko
 
M’shangazi unaonea WIVU vitoto vya elfu mbili
 
Wale ni sawa na wa vyuo vingine tu, wanajiachia ili wapate za matumizi
 
Bwana mkubwa! Unaongelea mambo ya uislamu na dini ukiwa upande gani wa nchi?
Mimi nakaa kwenye jamii yenye waislamu wengi, ni kitu cha kawaida kukuta mabinti watatu eamezalia nyumbani, bila ndoa.
Hali ni tete Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…