Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kundi la mabinti kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini leo limetangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kutoridhishwa na nafasi ya wanawake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam, mabinti hao waliongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Taifa, Ndg. Verynancy Mrema ambaye alieleza kuwa uamuzi wa mabinti hao unatokana na CCM kuonyesha kuthamini wanawake kwa kuwapatia nafasi za uongozi na maamuzi katika siasa na maendeleo ya taifa.