Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam, mabinti hao waliongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe Taifa, Ndg. Verynancy Mrema ambaye alieleza kuwa uamuzi wa mabinti hao unatokana na CCM kuonyesha kuthamini wanawake kwa kuwapatia nafasi za uongozi na maamuzi katika siasa na maendeleo ya taifa.
Ndio safi huko chadema kuna mwanamke ana sura ngumu huyo anaitwa hilda newton miaka 30 sasa viti maalumu anaisikia kwenye bomba wenye sura kinanda wote wanamfanya ngazi!