Mabinti wanachukia mahusiano mapya maana inawabidi wazuge hawapendi hela mwezi mzima

Aliekwambia mie ni binti ni nani?usichenguke na jina na picha..Nipo jinsia ya kiume
Haya mama... uwe na wakati mwema jukwaani maana haupo tayari kutongozeka.
 
Kuna kitu kagundua na yeye ndiyo maana simu kila saa, Aya mambo aya hatari sana
 
Duh!Its all about hela!hela!hela! Kama unazo si unampa tu kama hauna tafuta binti mwenye nazo akupe na ww
na asikwambie mtu bana ela ya kuhongwa na dem tammm sanaaaa
 
Ukiona mwanaume anakupa pesa na hujamuomba basi ujue unalipa sana
 
Ile kujifanya wife material na usimuone amekupendea hela inabidi wajibanebane asiombe hela angalau mwezi, huku wanatamani kuhongwa balaa na kukutengenezea mazingira ujiachie akupige kirungu cha maana
Hahahahaha.....kabisa mkuu hata hujakosea ujue.

Unatengenezewa mazingira rafiki ya kutokutilia mashaka kama anapenda hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…