Mabinti wanaokaa peke yao wanaongoza 'kujibaka'

Kisa kimoja hicho tena inaonekana cha kusimuliwa ndo uje na kauli ya "mabinti wengi" punguza umbea fanya mambo yako
We unapiga hiyo daily kwanini akunyoshee kidole.
Tena anyamaze,piga kimoja mpenziπŸ€—
 
Kakuachaje tena
Pambania penzi shauri yako🀣🀣🀣
Hebu tumuite kwanza hapa aje ajibu mashtaka
Mjep
Ila hilo sio soln.....bora utafaute mwingine, wanaume wako kibao 🀣🀣
Nimeachwaaa solembaaa! Kwa kweli Mali mpya imenizidi nguvuu,
Mjep hasikii wala haonii, sijui kakutana na mapya yepi huko, anajisosomolaaa tuu.

Nampenda yeye tuu, sio wengine, mbadala wake atakua Toy.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
cc wanawake hatupendi kuish maisha ya sheria tunapenda kujitawala
 
Nimeachwaaa solembaaa! Kwa kweli Mali mpya imenizidi nguvuu,
Mjep hasikii wala haonii, sijui kakutana na mapya yepi huko, anajisosomolaaa tuu.

Nampenda yeye tuu, sio wengine, mbadala wake atakua Toy.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣
Watu wanapendwa hawapendeki jmn ni nn
Atakuwa amekutana na styl mpya ...popo Kanyea mbinguπŸ˜ŽπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…