makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Usingeteseka mdogo wangu.. ningekujaza sumu na elimu ya kujitambua,We unajua sana! Ningepata likaka kama wewe, heartbreak ningezisikia tu! Ona sa nshakuwa sugu🤦🏽♀️
Anyways mwendo ni ule ule unafiki unatangulia kwanza😁
Nimueleze nini ni Mungu? Si Analipwa alitoe basi!Una balaa wewe binti kula gonja ya moto moto unaweka silicone vp siku ikipitiliza utamueleza nini doctr
We ke ama me?Ivi kuliwa mate ndo kufanya nini
Aisee huenda ningeruka viunzi vingi sana! Kuna mahali ningelita kama upepo shwaaa! Na kwingine nisingepita kabisa🤦🏽♀️Usingeteseka mdogo wangu.. ningekujaza sumu na elimu ya kujitambua,
mapenzi ingekuwa ni burudani zaidi kuliko mateso
Pole, kila kitu kwenye maisha ni funzo, mtu bora ni yule aliyegundua kosa na kulirekebisha lile kosa na kutokutudia kosa, mtu mjinga ni yule amaerudia kosa lile lileAisee huenda ningeruka viunzi vingi sana! Kuna mahali ningelita kama upepo shwaaa! Na kwingine nisingepita kabisa🤦🏽♀️
HaaaaaaahDuhh kasheshe, si ndio unaona tunaulizia bei hapo juu, kipi kichina hapo?🙄
Sawa ntajitahidi kukufanyia delivery itakua pana pana hiviNimueleze nini ni Mungu? Si Analipwa alitoe basi!
Nashukuru Mungu sirudiagi makosa! Nikiona dalili tu nakimbia mbio ndefu😂Pole, kila kitu kwenye maisha ni funzo, mtu bora ni yule aliyegundua kosa na kulirekebisha lile kosa na kutokutudia kosa, mtu mjinga ni yule amaerudia kosa lile lile
sawa mama mchungaji mchangamsha gang tu 🤓
Freshy tu nipo nasubiri!Sawa ntajitahidi kukufanyia delivery itakua pana pana hivi
Round hii sichangamshi genge niko serious😎sawa mama mchungaji mchangamsha gang tu 🤓
Umefanya promo hiyo makitu bila wewe kujua.Hiki kizazi aisee kina mengi.
Binti kaumwa kazidiwa kumbe ni pumu, purukushani za kutafuta dawa zake zikaanza, kufungua huku na kule mara paah kimfuko kizuri kama vile vya wanavyowekewa wakienda kununua vitu kwenye maduka makubwa ya fashion wacha kidodoke.
Kijimfuko kilikua na madubuwana hatari. Dubuwana moja lina ends mbili limejikunja na lina button na type C port. Hadi dushe linapindapinda kama mpira lilikuwepo humo
Hii dunia isimame sasa ni balaa
Kumbe una duka nielekeze basi nije kukuungisha pliz kama huto jariAanh hapana nichoshe mwili na roho wakati kuna za relaxation dukani, nimetulia zangu hakuna jasho😄
akili yako si inakutosha mwenyewe 🤒, inawezekana ya bilionea imekuvutia zaidi 😅Round hii sichangamshi genge niko serious😎
Utakufa kwa vingine, sio stress za mapenzi 😂🤣Nashukuru Mungu sirudiagi makosa! Nikiona dalili tu nakimbia mbio ndefu😂
Mwepesi sana kugundua red flag aisee!🤭
Wapo wauzaji mimi siuzi..Kumbe una duka nielekeze basi nije kukuungisha pliz kama huto jari
Nataka hiyo ya kibaka! Akili zinanitela leoakili yako si inakutosha mwenyewe 🤒, inawezekana ya bilionea imekuvutia zaidi 😅
Si ndio 😂Utakufa kwa vingine, sio stress za mapenzi 😂🤣