Elections 2010 Mabinti watumiwa kumrushia Mbowe kombora!

Status
Not open for further replies.


ni kweli mtoto wake ..na mtandao wake wametumia BAADHI ya vijana wanaosoma UDOM ...simnakumbuka wale "waliochanga" pesa za fomu....na wengine wa aina hiyo......the dataz ni kuwa wote waliojiunga JF kwa mtindo huo wanapewa ujira maalum ili kuja kumtetea Bwana mkubwa hapa......na zaidi wamepewa modem na lap top za bure......na offcourse pesa wanazolipwa zinawasaidia ku reload......na kutumia ........ni tofauti sana na wana wa nchi walio wengi humu ambao lap top..,modems wananunua wenyewe au ikibidi wanaenda kwenye surf centres kwa gharama zao.........SAA YA UKOMBOZI NI SASA!!!....PEOPLES .....!!!!!
 

Wala si uongo. CCM ime recruit na kupandikiza Mamluki wengi karibu katika kila forum. Wengi ni watu ambao huwezi kuwatarajia, lakini ghafula tu wamegeuka kuwa watetezi wa Chama hiki hadaa. Ni watu waliaomua kuufedhesha Usomi wao na kuweka taaluma zao pembeni kuwa wapiga debe. Wengi wameahidiwa tu vyeo na vijisenti ili kuwa sauti ya mafisadi. Mtazidi kuwashuhudia jinsi tarehe ya uchaguzi inavyo karibia.
 
Mbona ni picha tu na haina sauti. Fanya hima kuweka sauti au maandishi ili tuweze kuelewa kulikoni na kuna nini...........
 
Hao mabinti na kujifanya wanaongea Kiingereza, wamezidiwa na hawa watoto wadogo wa Shule Ya Msingi......

Ni aibu kweli Makamba kuja na porojo za kitoto namna hiyo wakati wenziye wanakuja na kitu kilichokwenda shule.

 
Last edited by a moderator:
Wee Cheka cheka tu. Utaliwa kama utani ...................


Sina maana hiyo kwakwakwaaaaaaaaaaa hahahahaaaaaaa 🙂

kila nikifungua lazima niifungue nicheke kuhusu fisadi Chadema
 
Last edited by a moderator:
Maskini vibinti vya watu vinatumiwa tu kama kopo la msalani vijue baada ya CCM kujisaidia havitakuwa na maana...Uongo uliotumika ni wa kipuuzi mno hii inaonyesha tumewapa dhamana ya taifa hili kundi la mazuzu
 
Hao mabinti na kujifanya wanaongea Kiingereza, wamezidiwa na hawa watoto wadogo wa Shule Ya Msingi......

Ni aibu kweli Makamba kuja na porojo za kitoto namna hiyo wakati wenziye wanakuja na kitu kilichokwenda shule.

Kaka sikonge akhsante kwa hii clip! Itasaidia sana watoto wangu kuweza kufikiri na kuweza kucontextualize kitu/vitu wanapofundishwa darasani! Hivi hapo huyo mzee unafikiri alikuwa anawaza nini baada ya huy dogo kuuliza swali? "Hivi sijui kame tumwa haka katoto au?" {It's my guess} :lol:
 
Last edited by a moderator:
Lakini hizo message mbili ni deception. Eti GDP na hela za chama wapi na wapi.:confused2:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…