Mabishano yasiyoisha kamwe

Mabishano yasiyoisha kamwe

Akilidebe

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
204
Reaction score
124
1. Simba vs Yanga
2. Diamond vs Alikiba
3.Messi vs Ronaldo
4.Nyumba kwanza vs Gari kwanza
5.Ujasiriamali vs kuajiriwa
6.Rayvanny vs Aslay
9.Maua Sama vs Nandy
10.wowowo vs kimbaombao

Ni Ubishani upi unaona hauwezi kuisha mtaani?
 
Mshana ama mng'oa kucha
 
1. Simba vs Yanga
2. Diamond vs Alikiba
3.Messi vs Ronaldo
4.Nyumba kwanza vs Gari kwanza
5.Ujasiriamali vs kuajiriwa
6.Rayvanny vs Aslay
9.Maua Sama vs Nandy
10.wowowo vs kimbaombao

Ni Ubishani upi unaona hauwezi kuisha mtaani?
Messi na ronardo ndio kiboko.
Hii hata ukitumia fact bado ngoma inakuwa ngumu maana kila mtu ana record zakutosha..

Lakini mwisho wa siku messi anabaki kuwa messi na huwezi kimfananisha na mambo ya kipuuzi..

Kama magoli aloyoyafunga jana hayajawahi kutokea dunia hii
 
Zanzibar vs Tanganyika
 
Wewe unaangalia mpira kweli???mfano lile goli la faulo hata Kane juzi kati apa alifunga,Ronaldo alifunga miaka 4 iliyopita nusu fainali UEFA tena dhidi ya Bayern Munich Alianz Arena,mtu wa kwanza mimi kumuona kufunga goli kama lile Ronaldinho..akiwa Barca
 
Uliwaona wale mabeki walivyokusanywa pamoja alafu mtaalamu akapiga goli la karne...
Siku hizo ronaldo hata havutii kumtazama yan anacheza kama john boko hana skills tena
 
Huwezi kufunga goli la karne dhidi ya Girona we jamaa.....[emoji16][emoji16][emoji16] ajitahidi watamfikiria kwa hilo..
 
Mkuu hivi kuwa unaangalia magoli bora ya mwaka??
Unadhani wanatumia criteria gani kulipa tuzo goli??
Unadhani ni ugumu wa timu uliyokutana nayo??

Nakupa mfano tu ...mwaka kama vile 2012 (sikumbuki vizuri) messi alikuwa anacompete goli bora la mwaka na jaama flani wa south america (brasil )

Goli la messi alilifunga fainali ya copa delaya na huyo jamaa alifunga goli kwenye mechi ya kawaida ligi ya brazil...
Mwisho wa siku jamaa kachukua tuzo na messi akakosa.
 
Kwahiyo mwaka mmoja sawa na karne moja...!!!kama ni hivyo basi nimeshindwa mm kijana..
 
Messi na ronardo ndio kiboko.
Hii hata ukitumia fact bado ngoma inakuwa ngumu maana kila mtu ana record zakutosha..

Lakini mwisho wa siku messi anabaki kuwa messi na huwezi kimfananisha na mambo ya kipuuzi..

Kama magoli aloyoyafunga jana hayajawahi kutokea dunia hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna mafans. mnaz maandaz
Kama wa Barcelona
 
Messi na ronardo ndio kiboko.
Hii hata ukitumia fact bado ngoma inakuwa ngumu maana kila mtu ana record zakutosha..

Lakini mwisho wa siku messi anabaki kuwa messi na huwezi kimfananisha na mambo ya kipuuzi..

Kama magoli aloyoyafunga jana hayajawahi kutokea dunia hii
Kweli mwana magoli ya mesi hata kuzimu hayapo ni very unique
 
Back
Top Bottom