Mabishoo na vituko/vioja vyetu

Mabishoo na vituko/vioja vyetu

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
966
Reaction score
1,084
Kwanza kama kichwa kisemavyo hapa utatiririka kioja au kituko ulichokifanya ili uendelee kuwa juu mana sisi mabishoo hatunaga kuanguka.....Naanza!

Mwaka wa 2014 nilikuwa pande za Dar kwa bro.....So wapangaji wakawa wananiona kila siku naenda kuoga asubuhi na jioni hafu muda mwingi nashinda ndani kwa sababu bro alikuwa ananiachia kaz za ofisi za kuandika kwenye laptop sa kuna dei maji yakakata hafu nkasahau kuagiza hafu ndo mida yangu ya kupita na kitaulo.....

Daah kucheki nje wamama na vibint vimekaa kibalazan mara nkasikia kwa mbali maza mmoja anasema....Mmmmh! leo kunan mbona haendi kuoga au alikuwa anatoa taka za shamba huko!...Mwingne akadakia....Mwingine akasema achana na kijana wa watu kama umempenda si umwambie.....

Kusikia hivyo mzuka ukapanda kulikuwa na maji kidogo so nkachulkua leso na taulo na sabuni nkatia maji robo ndoo hafu nkakaza msuli ili ijulikane maji yamejaa.....Huyooo bafuni kufika kule nkaishia kujipukuta na taulo na kujimwagia maji hapa na pale...Maneno yao yalifanya nifanye mana nlitaka nkaushe kwa sababu ilikuwa asubuhi.............Nlifanikiwa kula vibint kadhaa kwa kuoga tu asubuhi na jion.....Ubishoo kazi.......Twende....Tupia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananiita mi bishoo[emoji116][emoji116]

yess BiShoo haswaaAaa
 
Ww k_bee/ulikula watoto bei chee/
Wakijua ww pedejee/Jamani mwee/
Huo msuli uliukaza Kama hivi...
tapatalk_1578425030271.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi naanza kujitegemea kunamahali nilipanga Dah niliwatafuna watoto wamajilani Kisa usafi, ndani deki, kuosha ndoo adi yachooni kufua
 
Back
Top Bottom