Tanzania Mpya JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 252 Reaction score 145 May 7, 2012 #1 Nina wasiwasi kama hawa wafanyabiashara wa mahoteli wanabadilisha mablanketi na kuweka mengine kila mteja anapotoka. Wenye experience na hili namba maoni yenu kwani ni muhimu sana kwa afya zetu.
Nina wasiwasi kama hawa wafanyabiashara wa mahoteli wanabadilisha mablanketi na kuweka mengine kila mteja anapotoka. Wenye experience na hili namba maoni yenu kwani ni muhimu sana kwa afya zetu.