Maboksi imported ya mbao yenye handles - kwa matumizi mbali mbali

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
Tunauza maboksi makubwa ya mbao yenye handles imara, haya yalikuja yakiwa na pikipiki ndani toka japan, hivyo ni fumigated na imara kabisa kwa matumizi mbali mbali.

Bei ni 10,000/- kwa moja. Bei nafuu kabisa ukilinganisha na size na uimara.

Piga simu 0658333241 nikuelekeze warehouse zetu.

huduma ni PICNCASH si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…