Elections 2010 Mabomu ya machozi, maji ya upupu vyatumika Arusha kuwatawanya CHADEMA

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Ni muda huu baada ya Lema kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya ubunge.

Hali bado ni tete
 
Hawataki watu wafurahie ushindi au ndio hasira ya kushindwa ccm
 
pole dada Batilda...hongera braza Lema. Wananchi ndio wameamua. Urais imekaaje?
 
Baltida aliniudhi sana alipomkomalia Zitto Kabwe asimamishwe ubunge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…