Kwa hali ya kawaida Shabiki unadai hela Yako hapo uwanjani hasa unamdai nani?
Shabiki unaanzisha mkusanyiko ambao unaweza kuleta taharuki wizi na unyang'anyi ila unataka uachwe tu watu wakuchekee. Wanausalama wapo hapo kwa kazi hiyo ukiambiwa toka nje mechi hamna na sababu imetajwa tii. Hutaki utaisababishia familia Yako, wewe mwenyewe majeraha yasiyopona kwa haraka