Elections 2010 Mabomu ya machozi yarindima Kigoma

Kaizer

Platinum Member
Joined
Sep 16, 2008
Posts
25,324
Reaction score
17,846
kwa mujibu wa taarifa ya star tV sasa hivi, manispaa ya kigoma ujiji mabomu ya machozi yamepigwa, (na possibly risasi za moto) kuwatawanya wafuasi wa chadema waliokuwa wanashinikiza matokeo yatangazwe. chadema wamekamata udiwani kata 6 na CCM 5...

wananchi wamepiga magoti chini na kuinua mikono juu....HALI SI SHWARI...:sad:

Nina wasi wasi kama hali ndo hii, huko Nyamagana na Arusha itakuwaje?

kwa waliopo kwenye ground watujuze zaidi
 
Amani ya nchi hii ipo mikononi mwa CCM kutumia busara kukubali matokeo
 
Duh jamaa hawataki kukubali kushindwa!!!inatisha!!
 
hawa watu walijua watatuongoza milele.


Unajua majirani zetu, kilichopeleka wakacharangana ni TUME ya uchaguzi....kuchelewesha matokeo na kuchakachua...zama hizi za teknolojia, huwezi kuchakachua kirahisi kura za udiwani na ubunge!
 
kwa taharifa kutoka kigoma ccm imenyakua jimbo moja tu.majimbo mengine chali mbaya.
 
wanaosababisha vurugu ni wale ambao hawataki kutangaza matokeo ili wananchi waondoke
 
tusiruhusu uchakachukuaje ....wanachelewesha kutangaza matokeo ili wachakachue...TUWENI MACHO NA HAWA MAFISADI
 
WASHKAJI NILIKUWA NASKILIZA NEC LIVE KTK ITV,Dah HALI SI SHWALI KWA WANAMABADILIKO, NA NAZANI YALE MAJIMBO CCM WALIOCHAKACHUA MATOKEO YAKE YAMEFIKA NEC MAPEMA,ILA MAJIMBO YALIYOKO MAJIMBO KAMA MWNZA KILIMANJ SHINYANGA MBEYA MUSOMA NAONA BADO MCHAKATO WA KUCHAKACHUA BADO UNAENDELEA:nono:. pamoja
 
WASHKAJI NILIKUWA NASKILIZA NEC LIVE KTK ITV,Dah HALI SI SHWALI KWA WANAMABADILIKO, NA NAZANI YALE MAJIMBO CCM WALIOCHAKACHUA MATOKEO YAKE YAMEFIKA NEC MAPEMA,ILA MAJIMBO YALIYOKO Mikoa KAMA MWNZA KILIMANJ SHINYANGA MBEYA MUSOMA NAONA BADO MCHAKATO WA KUCHAKACHUA BADO UNAENDELEA:nono:. pamoja
 

sorry nilikuwa not reachable

naomba kujua ubungo vipi?
 
Nasikia Temeke hapatoshi...mpaka watoto wameumizwa na mabomu ya machozi. Tarime nako kuna mtu kachinjwa. Jamani, CCM wanakaribisha vita. Kubalini mmeshindwa. Uroho wa madaraka hata kwenye maisha ya watu wenu? Hamkuumbwa mtawale milele!

Kubalini maamuzi ya wenye nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…