LGE2024 Mabomu ya machozi yarindima Mbezi Luis baada ya CHADEMA kuchachamaa kuwa wameibiwa Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nimeanza kuelewa misimamo yako.

Hivi kweli unatumiaje mabomu ya machozi kwa wananchi wachache kama hawa
Mkuu mimi napenda haki hata baadhi ya wanaccm nashirikiana nao kwa mengi lakini ikifika kwenye uonevu huwa sitaki kabisa hata awe mama angu
 
HAMLIPI MAWAKALA MNATAKA KUSHINDAA JACKPOT IMEKUWA PAMBAFUU

MNANUNUA V8 ZA KUFANYA ULAMAYA NJIAN SHAME N U ALL
 
Wakuu,

Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda

View attachment 3165147
Unaweza kuzima maandamano ya barabara kakini huwezi kuzima maandamano ya moyoni,
You can not fool all people at all time
 
Wakuu,

Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda

View attachment 3165147
 

Attachments

  • IMG-20241129-WA0039.jpg
    115 KB · Views: 1
Chadema wanakosa hata kura serikali za mitaa halafu ndiyo wanataka kuchugua dola.
 
Huyu muandishi wa habari nimempenda jamani wasije kumteka mama wa watu. Polisi wamekimbia mawe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huenda ndiye mkuu 'Mindyou' mwenyewe huyo!

Kwa kweli kaisimamia kazi yake vizuri hapo, bila ya hofu kabisa.
 
Kwa kuwa nyumba za aliyehujumu inajulikana. Ashughulikiwe kikamilifu mtu huyu.
Kwa kweli sijui kwa nini watu wanajisahau kiasi hicho.

Hivi kweli CCM wanao uwezo wa kuwalinda mawakala wao wote hawa huko mitaani?

Hapa ndipo panapoweza kuwa na kiongo dhaifu sana katika kusababisha mabadiliko kwa matumizi ya nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…