Mabomu ya machozi yatumika kutawanya waandamanaji

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
32,246
Reaction score
31,176
Hii imetokea leo huko Kenya, mabomu ya machozi nje nje. Watu wameshaanza kuchoka, lakini BBC watajikausha kwa sababu ni aibu inayotokea kwenye koloni lao. Ingetokea Dar kelele zao zingekuwa nyingi hadi tusiweze kulala.

======

Police were forced to lob teargas and use water bowsers to disperse irate residents and traders of Kariobangi North who blocked Outering Road to protest the recent demolition in the area.

Traffic on the busy road was interrupted as the residents protested the Monday eviction from property said to belong to Nairobi Water and Sewerage Company.

The protests centred at the Kariobangi- Korogocho bridge – Komarock Road junction as rowdy locals lit a bonfire and blocked the road disrupting traffic for the better part of Friday morning.

Motorists were forced to use other routes as police battled the protesters for close to two hours.

The protesters mostly the Monday evictees and the Korogocho market traders are said to have taken to the streets after the demolition which saw bulldozers dig trenches disrupting supply to the market.

“We can no longer access the market because of the deep trenches disrupting movement of people and goods to the market,” a protestor told Standard Digital.

Source: The Standard
 
BBC and TV zao watajitahidi sana kuficha kama kawaida yao...
[emoji15][emoji15][emoji15] Taarifa ni kutoka kwa Standard Media, video Citizen Tv. Usijaribu kufananisha Kenya na Magufulistan. Sijaelewa hoja ya mleta mada lakini, alitaka Kenya Police watumie nini wakati wanapambana na waandamanaji? Laughing gas?
 
Kenya has become a police gang Republic....Raia can say nor do nothing.... Police can kill and no one cares....Ukoloni mentality at higher mark....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya has become a police gang Republic....Raia can say nor do nothing.... Police can kill and no one cares....Ukoloni mentality at higher mark....

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ungekimya, kama kuna mahali mwananchi hana ubavu wa kumkabili polisi ni huko bongo. Hivi wale jamaa walioshika kwa kumwambia mkuu wa mkoa anawe mikono waliwachiliwa?..
 
[emoji15][emoji15][emoji15] Taarifa ni kutoka kwa Standard Media, video Citizen Tv. Usijaribu kufananisha Kenya na Magufulistan. Sijaelewa hoja ya mleta mada lakini, alitaka Kenya Police watumie nini wakati wanapambana na waandamanaji? Laughing gas?
Endeleeni tu kujifanya hamuoni yanayoendelea kwa sasa.
 
Eastleigh Nairobi ndiyo kitovu cha biashara kama Kariakoo Dar es Salaam Tanzania.

Kuifunga Eastleigh inaweza kutafsiriwa kama njama za kuua uchumi wa watu wa Eastleigh kwa makusudi kabisa ili watu wa Central (GEMA) wachukue biashara zao.
 
Upumbavu when mixed with ignorance and idiotic mentality [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], eti Eastleigh ni kitovu cha biashara Nairobi.., eti ni njama ya gema[emoji23][emoji23][emoji23], una hakika? Peleka propaganda mbali. Tanzania is in 10th world., mumekamatwa kimawazo ndio maana miaka nenda miaka rudi hamsongi mbele, ni kupumbazwa na vigorofa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] see your life[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eastleigh Nairobi ndiyo kitovu cha biashara kama Kariakoo Dar es Salaam Tanzania.

Kuifunga Eastleigh inaweza kutafsiriwa kama njama za kuua uchumi wa watu wa Eastleigh kwa makusudi kabisa ili watu wa Central (GEMA) wachukue biashara zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali ungekimya, kama kuna mahali mwananchi hana ubavu wa kumkabili polisi ni huko bongo. Hivi wale jamaa walioshika kwa kumwambia mkuu wa mkoa anawe mikono waliwachiliwa?..
 
Wanamfuatilia na kumzoom kwanza dikteta wetukwa karibu
 
Hapana huo utetezi wako hauna mshiko.
Hao Police wenu wako very brutal. Mpaka sasa wameshafanya mauji ya watu 5 just ku-enforce Covid-19 lockdown...
[emoji15][emoji15][emoji15] Taarifa ni kutoka kwa Standard Media, video Citizen Tv. Usijaribu kufananisha Kenya na Magufulistan. Sijaelewa hoja ya mleta mada lakini, alitaka Kenya Police watumie nini wakati wanapambana na waandamanaji? Laughing gas?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…