Elections 2010 Mabomu yalindima Magu TLP wataka matokeo

Elections 2010 Mabomu yalindima Magu TLP wataka matokeo

Mongoiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
524
Reaction score
269
Kuna Taarifa kuwa Magu Mjini mabomu yameanza kupigwa huko Magu baada ya kucheleweshwa kwa matokeo, vulugu zilizuka kutokana na watu kuhisi walikuwa wakipanga namna na kuchakachua matokeo kwa vile kila majumuisho toka Kata walikuwa yakionyesha Lugongoteke Julias- UDP ameshinda
 
Vulugu zimezidi na sasa risasi za moto zimeanza kupigwa. Mungu tunusuru na machafuko.
 
Haya ni makosa ya nec kuchlewesha matokeo bila sababu za msingi!
 
Back
Top Bottom