Tatizo lugha... Na ndio maana tukapigwa sana... Hata hapa JF ukishaandika uzi kwa lugha ya malikia watu wanapata uvivu na uchovu wa ghafla hivyo kuwafanya wachangie bila kusoma kama le proffesie`
Hivi lawyer wa caliber ya graduate wa Havard mbona wale jamaa waliokuwa wanafuatilia chenji ya rada walimgwaya...kiingereza gani hicho? Hata mimi kilaza ikibidi hata kulewa ntalewa ili waelewe kwa kiingereza