Ichwampaka
Senior Member
- Nov 19, 2018
- 145
- 118
Malizia Kusema "Mama Anaupiga Mwingi"Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundo mbinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk.
Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili chini ya Prof. Janabi. Maboresho ya muhimu tena kwa kiwango cha juu.
Mtaje tu jina mkuu.Kuna mwaka aliteuliwa mkuu hapo MNH akafanya party nilishangaaa sana ....watu wanalala chini wengine wanakufa hawajamuona Dr week hata 3....nikamuona mkuu hapo anatembelea V8....nilishangaa sana pia la nini hilo gharama zake mil 200 wakati yupo dar hapa tu ....? Mikoani ana fly !!! Naamini wanapata fungu la maboresho ...miundombinu na vifaa tiba na madawa....amina sana nawapongeza mzee kutusumbua akili zetu