bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Malaika ni viumbe wa mbinguni Wanatumika kufikisha jumbe za Mwenyezi Mungu kwa watu husika, hawa viumbe wana mabawa mengi sana yanayowawezesha kusafiri kwenye anga kwa kasi ya ajabu. Sasa kwa elimu dunia ndogo niliyopata juu ya mambo usafiri wa anga nadhani si Sawa malaika kuendelea hutambulika kama kiumbe chenye mabawa.
Huu ni muda muafaka mwenyezi Mungu awafunge jet hawa malaika ili kuweza kwenda sambamba na teknolojia. Embu fikiri kombola la hypersonic limerushwa kuelekea Israel sidhani kama malaika ataweza kupeperuka kwa kasi kwenda kuwaambia watu wema waondoke, au kulifukuzia kulikamata angani na kuigeuza lilipotokea.
Pia, maarifa ya uwepo wa atmosphere na kutokuwepo kwakwe kwenye anga za mbali ni changamoto nyingine kubwa inayowakabili hawa viumbe wa Mungu. Labda ni fafanue zaidi atmosphere yetu ndiyo inawezesha wanyama wenye mabawa kupeperuka hivyo kama haipo basi chenye mabawa hakiwezi kupeperuka. sasa hawa viumbe wanapata shida sana wanavyosafiri kutoka mbinguni kuja duniani maana hapo katikati njiani hakuna hewa.
Maboreshoo wanahitajika mapema sana.