Mzee hayo sio maboresho ya elimu huo ni ujenzi wa miundo mbinu.Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali.
Katika mpango huo Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inatarajia kutumia Tsh Bilioni 250.9 kwa lengo la kuboresha miundombinu katika shule hizo
Hii inaonyesha ni jinsi gani Serikali ya Rais Samia Suluhu inavyopambana na ujinga maana ujinga ndio chanzo cha umasikini Elimu inaendelea kuboreshwa Rais Samia Suluhu anafanikisha elimu bila ada katika mazingira bora.
Hivi maboresho ya elimu ni vyumba vya madarsa? Kuna mwaka nchi hii tangu ipate uhuru hapajajengwa vyumba vya madarasa?Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali.