Maboresho ya Huduma za Matibabu kwa Wanachama wa NHIF

Maboresho ya Huduma za Matibabu kwa Wanachama wa NHIF

Dresscode

Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
47
Reaction score
24
IMG_20200823_181015_899.jpg
 
Rubbish, wametoa daw nzuri wakaweka dawa mbaya. Unatoaje Fastum gel na kuweka diclorofenac gel. Wazee walikuwa wanaponea dawa hiyo kwa kuumwa na mgongo. Wapuuzi wakubwa, walaaniwe
 
HIII N LAANA SITAKIKUWAKUMBUKA WALIBYONIPOTEZEA MPENDWA WANGU
 
Rubbish, wametoa daw nzuri wakaweka dawa mbaya. Unatoaje Fastum gel na kuweka diclorofenac gel. Wazee walikuwa wanaponea dawa hiyo kwa kuumwa na mgongo. Wapuuzi wakubwa, walaaniwe
Ungekuwa mfuatiliaji wa jinsi NHIF inafanya kazi ungejua inalenga kumhudumia kila mtanzania kwa huduma bora za Afya. Hakuna Ugonjwa usiokuwa covered na NHIF na hao wazee wanatibiwa kwa utaratibu mzuri kabisa wa wataalam.
 
Ni pale daktari anamuhudumia mgonjwa halafu ikipelekwa claim form NHIF wanakataa kulipa eti over utilisation of resources...really?? Wewe ndio ulimuona mgonjwa. Why not trust the doctors??

Sent using Jamii Forums mobile app
OK!!!.Offcourse niliwahi kusikia kuwa hao jamaa wana viwango vyao vya mwisho vya Matibabu,ambapo kwa Mtumishi wa Serikali inatakiwa isizidi Tshs.15,000/=.
 
Da mie nawashukuru japo kuna wakati wanachemka. Mzazi wangu mmoja aliebaki anapata dawa na matibabu bure muda sasa. Mapungufu yapo warekebishe.
 
Ma
Da mie nawashukuru japo kuna wakati wanachemka. Mzazi wangu mmoja aliebaki anapata dawa na matibabu bure muda sasa. Mapungufu yapo warekebishe.
Matibabu bure!?Hiyo ni msamaha labda sio bure. Kama unakatwa bima haiwezi kuwa bure tena hiyo mkuu
 
Ma

Matibabu bure!?Hiyo ni msamaha labda sio bure. Kama unakatwa bima haiwezi kuwa bure tena hiyo mkuu
Lazima niwe mkweli kiasi nachokatwa na huduma ni Sawa na bure. Haya magonjwa makubwa ni tofauti na maleria na UTI. Binafsi nafurahia huduma zao Sikatai changamoto zipo lakini wanajitahidi .
 
Back
Top Bottom