Maboresho ya kupatana app yamefanya nisipate wateja

Hovyo kabisa, kwa wafanya baishara wa online kuweka ukomo wa picha tatu ni kumkosesha mteja.
 
Labda na wao wanastruggle kupata mauzo na faida. Online business platforms kwa Tanzania bado ni kizimkuti sana, ndio maana hata Jumia maisha yamewashinda hapa kwetu
Wakat hapa Kenya wanapeta kama wali mandondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…