wanaotaka serikali 2 hasa CCM maboresho ni yapi yaliyowashinda for 50 years? yasemwe tuyachambue mapema vinginevyo mwacheni Warioba apete. Mkileta zenu kwenye kura ya katiba tutamaliza.
That's the point! Kama wameshindwa kuyaboresha kwa miaka 50 iliyopita ya serikali 2. Ni maajabu gani watayafanya in few months!? Mimi naona hawana hoja.
Hapa hakuna cha Serikali mbili tunataka Tanganyika ikae mezani na ZNB tujadiliane ni muungano upi tunautaka!!
Vinginevyo ZNB inaona kuwa inaonewa, tumechoka kutukanwa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.