kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Imebainika baadhi ya taasisi private zimeanza kutoa vitisho kwa vijana waliochaguliwa kwenda kufanya usahili katika kada mbalimbali za afya maboss hao wameanza kuwatisha vijana kuwa wakifanya usahili basi na vibarua vyao ndio vitaota nyasi.
Acheni hii, ruhusuni vijana wakapambane kuna walioambiwa wakienda kwenye interview basi wasirudi tena kwenye hizo taasisi.
Acheni hii, ruhusuni vijana wakapambane kuna walioambiwa wakienda kwenye interview basi wasirudi tena kwenye hizo taasisi.