kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Unamlipa mtu laki mbili anapotaka kupambana kupata green pasture unasema tamaa serious???Hizo ni tamaa hata ningekua Mimi nakutimua
Umeongea kiutu uzima sana nimekuelewa asee📌 I wish maboss wengi wangekuwa na hii mindsetKama dogo anafanyakazi sehemu ambayo hawaruhusu kukua kwake hayupo sehemu sahihi.
Akili kubwaz hizi kaka safi sana ningekuwa vzuri ningekupa ya soda😂Kwa 'Maboss' ruhusu interview upate kufanya kazi na watu ambao wanaweza saidia taasisi yako kukua. Ukiang'ang'ania kukaa na mambumbu si salama sana kwa ukuaji wa taasisi yako.
Si ndio hapo wanaenda mbali kuwa wakithubutu kufanya hata wakifail wasirudi tena ni ukatili mno huuUjinga mtupu,unazuia vipi riziki ya mtu