Au Watoto wa laiboni wamewapa Dawa za kuwafukuza ππAliingia kuna vijana wanalinda siku wanyama wakitibuka wanakimbizwa ila hawajala kama tulivyo tegemea
Uhakika πAu Watoto wa laiboni wamewapa Dawa za kuwafukuza ππ
Au Watoto wa laiboni wamewapa Dawa za kuwafukuza ππ
Sasa kama huna stori nae huyo mkeo , humchekeshi anachekaje!? Jiangalie mwenyewe kwanza unakwama wapi mpka mkeo anakosa vicheko ukiwa naeMfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?