Mabunge yanayoongoza kwa vituko duniani

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Hii ni list inayo onesha mabunge yanayo ongoza kwa vituko, fujo na vibweka bungeni hapa duniani.

1. Bunge la Taiwan

Hii kwangu naanza na hawa wachina wa Taiwan hawa jamaa wanachekesha kweli kweli.

Wabunge wa Taiwan ni ngumi mkononi kitu kidogo tu wasicho kubaliana basi ngumi huanza kupigwa humo humo ukumbini.

Juzi tu hapa wamenyukana makonde bungeni na mbunge mwengine kuuiba mswaada na kukimbia nao nje hawa wachina wanachekesha sana.

Wana nifurahisha kweli.

2. Bunge la India

Hawa nao ni kama wachina wa Taiwan nao ngumi mkononi

Fujo sana hawa wahindi kukinukisha bungeni ni dakika sifuri tu wasipo elewana.

Hawa wahindi fujo sana.

3. Bunge la Malaysia
4. Bunge la Japan
5. Bunge la Uganda

Haya mabunge yana vibweka kweli kweli ukitaka kucheka zama YouTube au fuatilia mabunge yao ndio utajua vituko vyao haswa.

Ila hilo bunge la Taiwan πŸ˜€ hatari sana.
 
kuna bunge huko x eti la wanainchi linachekesha hilo sijui lilifiaga wap πŸ’
 
Bonge la Tz linaongoza kuwa na bongolala Duniani, tujivunie!.
 
Umesahau la South Africa
 
Naona kuna wengine wanasema sijui bunge la Tz lile siyo bunge ule ni mkutano wa Halmashauri kuu ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…