Nauza Mac book pro 13 ya mwaka 2017 kama spare
Machine kuna kitu kimeharibika ndani kina cost 500k,
Motherboard / display/ Kioo/ HDD ram processor vyote vizima kabisaa.
Kwa yoye kama ilivyo nauza 500,000.
Kama utahitaji kifaa kimoja kimoja ni makubaliano.