Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jitahidi ule mlo kamili fanya mazoezi kunywa maji ya kutosha. Hayo mambo ya kuongeza manguvu kama mwili hauna lishe unajikongoroa mwenyewe.
Duh iko mambo ila pambana unaweza fanikiwa. Ila kwenye tiba zako usiache kutumia mwani hata kama umepona ni kitu moja nzuri sana.hali ni mbaya sana mkuu, tunatafuta busta ya dharura huku tukiendelea kiupigania suluhisho la kudumu