D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Aug 26, 2023 #1 wapi naweza kupata hapa Nchini? Na je ni kweli inasaidia kwenye Sexual drive?
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Aug 26, 2023 #2 Mkuu jitahidi ule mlo kamili fanya mazoezi kunywa maji ya kutosha. Hayo mambo ya kuongeza manguvu kama mwili hauna lishe unajikongoroa mwenyewe.
Mkuu jitahidi ule mlo kamili fanya mazoezi kunywa maji ya kutosha. Hayo mambo ya kuongeza manguvu kama mwili hauna lishe unajikongoroa mwenyewe.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Aug 26, 2023 Thread starter #3 92 jerrie said: Mkuu jitahidi ule mlo kamili fanya mazoezi kunywa maji ya kutosha. Hayo mambo ya kuongeza manguvu kama mwili hauna lishe unajikongoroa mwenyewe. Click to expand... hali ni mbaya sana mkuu, tunatafuta busta ya dharura huku tukiendelea kiupigania suluhisho la kudumu
92 jerrie said: Mkuu jitahidi ule mlo kamili fanya mazoezi kunywa maji ya kutosha. Hayo mambo ya kuongeza manguvu kama mwili hauna lishe unajikongoroa mwenyewe. Click to expand... hali ni mbaya sana mkuu, tunatafuta busta ya dharura huku tukiendelea kiupigania suluhisho la kudumu
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Aug 26, 2023 #4 dos.2020 said: hali ni mbaya sana mkuu, tunatafuta busta ya dharura huku tukiendelea kiupigania suluhisho la kudumu Click to expand... Duh iko mambo ila pambana unaweza fanikiwa. Ila kwenye tiba zako usiache kutumia mwani hata kama umepona ni kitu moja nzuri sana.
dos.2020 said: hali ni mbaya sana mkuu, tunatafuta busta ya dharura huku tukiendelea kiupigania suluhisho la kudumu Click to expand... Duh iko mambo ila pambana unaweza fanikiwa. Ila kwenye tiba zako usiache kutumia mwani hata kama umepona ni kitu moja nzuri sana.