Changamoto kipato kiongozi. Iliopo ndio iyoPanda kidogo boss hii mashine ni kali sana itakuheshimisha, kazi unapiga nyingi sana hasa kwenye graphics ndo yenyewe
Panda kidogo boss hii mashine ni kali sana itakuheshimisha, kazi unapiga nyingi sana hasa kwenye graphics ndo yenyewe
Apple inaheshimisha mtumiaji, software unapakua Apple store kirahisi, kubwa zaidi ni Retina Display, Camera ina 4K video call unakuwa swafi kabisa, pia ni portable, design nzuri inavutia, ukitaka kuwa smart wewe tumia Apple bossWindows haiwezi kazi za graphics ?
Na graphics ndio nini kwa mfano? Kutengeneza websites?
Watumiaji computer wangapi wanafanya ma graphics ?
Apple inaheshimisha mtumiaji, software unapakua Apple store kirahisi, kubwa zaidi ni Retina Display, Camera ina 4K video call unakuwa swafi kabisa, pia ni portable, design nzuri inavutia, ukitaka kuwa smart wewe tumia Apple boss
Una hasira na Apple nini? Huwezi kulinganisha Apple na Windows hazilingani hata kidogo Ni kampuni kubwa ya kwanza kisha windows wanafuata kama unabishana nao watu watakushangaa sana rafiki yangu, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Apple ni no 1.Unapigaje picha na camera ya laptop ???
Umeona tukio Kariakoo paap, unataka picha, ukazane kutoa li laptop kwenye begi uliwashe?
Na bila kutegemea hiyo apple store, computer za windows hazIpati software ?
Na huo u-portable, kwani laptop nyingine hakuna ndogo nyembamba ? Au u portable gani unazungumzia ?
Kwa hiyo apple ni mnyonge lakini haki yake mpeni! Mnyonge kwa nani, kwa windows ? Unakiri kwamba apple ni mnyonge ?Una hasira na Apple nini? Huwezi kulinganisha Apple na Windows hazilingani hata kidogo Ni kampuni kubwa ya kwanza kisha windows wanafuata kama unabishana nao watu watakushangaa sana rafiki yangu, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Apple ni no 1.
Wewe ni Mr porojo kila mtu anaesoma comments zako anakushangaa sana, watu wanahangaika kila siku kupata Apple wewe unaleta porojo hapa, Hakuna mtu anayependa Windows ni kipato kigumu tu wala zisingenunulika, Apple ni za matajiri tu, wasiokuwa na hela ndio wataleta porojo kama zako, wewe seme Apple ni ghali acha porojoKwa hiyo apple ni mnyonge lakini haki yake mpeni! Mnyonge kwa nani, kwa windows ? Unakiri kwamba apple ni mnyonge ?
Unauza apple, selling pitch yako ni apple itakuheshimisha! Itakuheshima kwa lipi, hujui! Unakwama! Ni kama umekariri!
Ooh, iko portable, laptop nyingine sio portable ? Ohhh, ina camera, ina apple store! Nani kakwambia wapiga ma software wa Afrika wanataka ku deal na apple store?
DAh, kumbe apple inaheshimisha? We are locked in, trapped viciously kwenye mtego wa brandselling pitch yako ni apple itakuheshimisha! Itakuheshima kwa lipi,
Ukiwa na Apple thamani yako inapanda ni bidhaa za watu wanaojiweza boss, hii ni dunia nzima hata marekani ukiwa na Apple thamani yako inakuwa juuDAh, kumbe apple inaheshimisha? We are locked in, trapped viciously kwenye mtego wa brand
Apple ambazo hazina Processor ya Intel tu ndio haziwezi ku run AUTOCAD au ARCGIS, zinazokubali ni zenye storage ya 250GB, ram kuanzia 8GB nakuendelea, M1 na 2 hazikubali software za windows wamezuiaChief-Mkwawa tunaomba uje utuweke wazi kama hii itafaa kwa matumizi ya graphics, hasa AUTOCAD au arcGIS.
Sawa nilidhani ni gadget tu kumbe ni status, ok, let me stay in my cormfort zone of non apple users. Ila pia nimenotisi ma dj wanazipenda sana, nadhani haziwakwamishi katika kazi zao.Ukiwa na Apple thamani yako inapanda ni bidhaa za watu wanaojiweza boss, hii ni dunia nzima hata marekani ukiwa na Apple thamani yako inakuwa juu