Baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi hapa US, niliweza ku-save na nimepata business partner/investor ambapo seriously tumeamua kuwekeza katika fast food business hapo Dar na Arusha. Tumeshakamilisha taratibu zote za kufungua franchise ya MacDonald including attending mandatory MacDonald (burger) university course, na imebaki kuja hapo Dar kufanya utafiti wa strategic sites then hawa jamaa wa corporate office watakuja kuikagua na kufinalize the deal.
Je mna maoni gani kuhusu ufunguzi wa MacDonald hapo mjini? Italipa?
Italipa!!!Baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi hapa US, niliweza ku-save na nimepata business partner/investor ambapo seriously tumeamua kuwekeza katika fast food business hapo Dar na Arusha. Tumeshakamilisha taratibu zote za kufungua franchise ya MacDonald including attending mandatory MacDonald (burger) university course, na imebaki kuja hapo Dar kufanya utafiti wa strategic sites then hawa jamaa wa corporate office watakuja kuikagua na kufinalize the deal.
Je mna maoni gani kuhusu ufunguzi wa MacDonald hapo mjini? Italipa?
Baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi hapa US, niliweza ku-save na nimepata business partner/investor ambapo seriously tumeamua kuwekeza katika fast food business hapo Dar na Arusha. Tumeshakamilisha taratibu zote za kufungua franchise ya MacDonald including attending mandatory MacDonald (burger) university course, na imebaki kuja hapo Dar kufanya utafiti wa strategic sites then hawa jamaa wa corporate office watakuja kuikagua na kufinalize the deal.
Je mna maoni gani kuhusu ufunguzi wa MacDonald hapo mjini? Italipa?
Sina tatizo sana na Dar kwa sababu watu wameanza kuwa na culture ya kula junk food .Hata mimi nimekuwa nikitamani sana taste ya Mc Donalds cos mara ya mwisho kula ni 2004 in the UK.
Kwa Arusha nadhani utapata challenge kidogo. Steers walishindwa kufanya biashara wakafunga. Watu wanapenda sana nyama choma. Wanapenda wakae sehemu wanywe pombe na wale nyama.
Cha kufanya jaribu kuestablish ni kwa nini Steers walishindwa kufanya business ili uweze kudevise alternative strategy ya ku recapture hiyo market.
Lakini nakuhakikishia Nando's would be the best kwa sababu wale ni waportuguese wana taste kama za kiafrika. Kuku anachomwa na peri peri na kwa hakika it will be a massive business kwa Tanzania.
Baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi hapa US, niliweza ku-save na nimepata business partner/investor ambapo seriously tumeamua kuwekeza katika fast food business hapo Dar na Arusha. Tumeshakamilisha taratibu zote za kufungua franchise ya MacDonald including attending mandatory MacDonald (burger) university course, na imebaki kuja hapo Dar kufanya utafiti wa strategic sites then hawa jamaa wa corporate office watakuja kuikagua na kufinalize the deal.
Je mna maoni gani kuhusu ufunguzi wa MacDonald hapo mjini? Italipa?
Hao nandoz wenyewe walifungua branch pale jm mall mwishowe wakafunga,ttz ya kufungua franchise ni u hv to pay a fee kwa brand owner wich z high n inturn ur food inakua xpensive watu hawanunui,mfn burger ya moroko kituo cha mafuta ni 4000 ila ni bonge la baga kubwa kishenz,ya steers ni 4500 nazan ila ni kadogo kma chapati nani anataka huo ujinga?
Kaka ckuvunji moyo ila soma mrkt vzr me naona kheri kuanzisha brand yako mwenyewe kuliko franchise kuepuka mambo ya fee

Kaka Nando's kama Nando's hawajawahi kuoperate TZ, ile uliyoiona Samora avenue ni jina tu wala sio Franchise ya Nando's. Na formular yao ni tofauti kabisa.
Nando's wenyewe wakija bongo lazima mzime sigara!

hakuna biashara isyolipa... kumbuka dar haizalishi chakula chake...inapokea na kutumia tu... GO AHEAD TZ Mc Donald:coffee:mkuu ...junk food is not a fovourite food in TZ kutokana na uhalisia wa nchi yenyewe.... hivyo kuna specific market/customer segment ambayo watakula mac donald
pili...sasa hivi kuna mashrooming ya vending ya burger huts na bei ni poa sana..competitor
tatu ...wagosi (wasambaa) wanatengeneza chipsi na chachandu nzuri sana ...competitor
dar kuna foleni kubwa sana hasa wakati wa asubuhi, mchana na jioni ..peak time kwa hiyo eneo utakalopata kama ni city center pia hili ni tatizo kwani mteja itamuia vigumu kutoka oysterbay kuja kununua macdonald burger city center wakati atatumia 2hrs
lazima uwe strategic kwenye market segment..... hence strategic market area to best fit the target market