Maceleb wa Kibongo kuuza sura Misiba ya wakubwa

Maceleb wa Kibongo kuuza sura Misiba ya wakubwa

Joined
Sep 29, 2011
Posts
92
Reaction score
18
Wiki iliyopita Tulikuwa tumempoteza Eng Mosha, Nilipokuwa msibani niliona watu wengi wanaopenda umaarufu wakija msibani usiku baada ya mida ya kazi. Former miss T run up N. Mohd alifika na bahati nzuri nilipokaa nilikuwa na watoto wa marehemu wa kiume na wa kike cha ajabu mlimbwende huyu aliingia bila kusalimia wafiwa ikiwa na maana hajuani nao kwa karibu na kwenda kujiweka kwa wakina mama na hakuchukua hata dk 45 akatoka akijifanya kuchat kwenye simu na kuondoka. Tulijiuliza na wadau wengine pale kwamba hata misibani watu huja kuuza sura haswa wakijua misiba hii ni ya watu prominent. Watanzania tujaribu kuacha tabia hii.
 
Hivi bongo hii kuna Celeb au waigizaji tu? Kwanza acheni kumpa sifa akiona 2namwongelea atavimba bichwa. Celeb Celeb Celeb, bongo? Cdhani!
 
Wivu wa kijinga, In this life don't discuss people just deal with the issues and mind your own business
 
tutajie jina basi,wengine hatujajua unamsemea nani
 
acheni kumsema mdada wa watu,penye mkusanyiko wa watu ndipo mahali pazuri pa kutafuta
 
Wivu wa kijinga, In this life don't discuss people just deal with the issues and mind your own business

Ama kweli mbongo utamjua tu.
Kwenda msibani huku umevaa kimini nao ni wivu su sio?
 
eng. Mosha ndiyo nani kwani na yeye alikuwa celeb????
 
Mosha ndio founder wa Akiba Commercial Bank, Interconsult, ana miliki mashamba makubwa ya mkonge kule Tanga. He was not a celebrity rather influential enterprenuer.
 
Back
Top Bottom