Sa ndo ushindwe hata kutoka nae kwenye cocktail pati.
FL we fuatilia kwenye masherehe ya voda,tigo, miss tanzania, sijui kili music award waalikwa wengi ambao wanaaminika kuwa ndo wana- run the city hawaandamani na waubavu wao. Na kama akiandamana nae body language yake inakuwa inamuhukumu hasa pale anapolinganisha na totoz zilizomo mule ukumbini.
Sikuzote watu wanapofanikiwa Wanaangalia nani alianza nae tokea alipokuwa hana kitu angalia ( Denzel,LLcoolJ,JaRule,Samuel L Jackson,TI...to name a few). Kwa hiyo wakati wanachakarika hao ndio walikuwa wanawakubali au ligi yao.