Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

Kitu cha kujiuliza hivi hawa washiriki pia wana mahusiano mengine nje ya hizo movie ama vp?
Maana kwa hali ile inakuaje wenza wao wawaruhusu?
Pia katika hali ya kawaida tu hivi watu wa jamii zao wanajisikiaje wanapoona yale yanayofanyika?
 
Coz vitu tunavyovipiga marufuku huko vinalipa kodi Inshort wana njia njia za kupata kodi hadi Malaya wanalpa kodi
 
Mtengwa ,sitype hivi kama kiwakatisha watu tamaa au kuwafanya waendelee na uraibu wa kuangalia picha za ngono au pornography, bali keleza ukweli wa watu kujinasua kutoka kwenye huu mtego, umewanasa wengi, inawezekana hata wewe pia umewahi kunaswa au kuwemo ndani kwa hali ilivyo sasa duniani kama uangalia hizi picha pekee kungepelekea watu kwenda motoni basi ni hatari sana wangepona wachache mno lakini maombi pekee hayatoshi hapa, kumbuka aliyetengeneza alifocus zaid kwenye psychology attack,kushambulia afya ya ubongo au akili,sio kila kitu kinatatuliwa na maombi vingine ni therapy, hivyo hatua ya kwanza ni kutengeneza platform ya kuimarisha ubongo wa mtu kuweza kupambana na dhamira au viamsho vya picha za ngono, akili ikisha komaa, tuje kwenye maombi na kutengeneza uraibu mwingine mbadala tofauti na ngono fotoz, kumbuka "uraibu uponywa na uraibu" yaani "addiction healed by addition" hapo ndio centre ya ufahamu wote wa binadamu kuhusu addiction!!!
 
Yaani PORN INDUSTRY itengeneze pesa nyingi kuliko NBA hivi unaifahamu NBA wewe kweli!???
Wangapi wanajua kuchezea NBA Au anayefatilia ligi hiyo? Lakini wangapi wanatazama na kusikia porn? Jibu unalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…