porno wanatuzuga sana, yapo mambo katika uhalisia hayawezekani kwa mfano kwenye scene za watu kuingiliwa kinyume na maumbile eti hakuna hata chembe ya choo kubwa inayoonekana kitu ambacho ni nadra sana rectaum haijawahi kuwa safi kwa 100% kama wanavyowaaminisha watu hata kama usafi ufanyike vipi. maana yake nini wao wanafanya maandalizi na kuhariri kwa kiwango kikubwa sana ila sisi wajinga twaiga bila kujua hali halisi. kwa mpenzi wa porno fanya uache si salama kwa afya ya mahusiano maana wengi tunaingia kwenye mapenzi na mentality ya vile tunavyoviona kwenye porno matokeo yake tunakuwa watu wa ajabu, yaani leo mabinti kunyonya uume si ajabu kwao, vijana chumvini kama wanakunywa maji vile, mabinti kugawa tigo wameshika kasi, wanaume kutwa kujiboost ili wawe na stamina kama porn star. satanic brainwashing at work be careful.