Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

kwann movies za wasichana na wasichana wanalipwa pesa kidogo hivyo??? dola 600!! seriously!!!
 
Shetani yuko tayari kutumia nguvu nyingi kuangamiza kizazi hizi duuh mungu tusaidie
 
Kwahiyo sisi huku Africa tunatania tu kwamba kuna kuagalia ama kuigiza picha za ngono
 



Ni kweli mkuu Marekani inaongoza ila inabidi uibadilishe kidogo orodha yako kwani nafasi ya nne (4) inashikiliwa na Wahindi, 5. Japan, 6. Ufaransa, 7. Ujerumani, 8. Australia, 9. Italia. na 10. Brazil....Katika site zingine zinaonyesha kuwa Pakistan ni ya 2 kwa kuangalia porn za kufilana na Saudi Arabia ni ya 6 kwa kuangalia porn za kufilana na usagaji pia na Misri ni ya 7 kwa kuangalia porn za usagaji. Kazi tunayo.
 
Kwahiyo sisi huku Africa tunatania tu kwamba kuna kuagalia ama kuigiza picha za ngono


Hakika tunatania tu huku kwetu, cha kushangaza waarab wanajidanganya kwa kusema waafrika wanaendekeza sana ngono....wao ndio wanaongoza kwa kuangalia sinema za kujamiiana kwa jinsia moja na kufanya mapenzi na wanyama hapa duniani. Sasa nani anamdanganya nani hapa?
 
Ndo maana ndungu zetu wakienda kwao wanateseka sana hata kufanyiwa vitendo vibaya kama hivyo mm naona .sisi ni wavivu tu na wambea hata unafiki umetujaa bila kusahau wivu na kutopendana basi lah! tungekuwa mbali sana kwa maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…