ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
drugs zilimmaliza huyu tena kitambo sanaKuna dada anaitwa naomi russel
kampuni nyingi zinawapima watu wake kila baada ya wiki nne
pamoja na hayo bado wanakufa sana na ukimwi na drugs
poa dogoUmechelewa siti dogo.
simpo tu angalia new post kwenye appnifundishe nami niwe wa kwanza kukoment
Hapo kwenye list ya nchi zinazoongoza kuangalia porno mbona hamna Bongo!?? Huo utafiti utakua hewa!!
Nakumbuka kipindi nipo chuo, karibia chuo kizima kilikua kinakuja kuchukua hiyo mizigo kwangu..
usisahau wanalipa kodiHatari lakini salama je kuna anayefanya jitihada za kuelimisha watumiaji juu ya athari za kuangalia pono hizo
duh!Kuna dada anaitwa naomi russel
bora umemfafanulia kisomiTanzania tuko 48m, wenye access na internet hawafiki 25m. Wenye uwezo wa kuangalia porn hawafiki 10m.
Tanzania tuko 48m, wenye access na internet hawafiki 25m. Wenye uwezo wa kuangalia porn hawafiki 10m.
Athari wazipatazo ni kubwa kuliko hiyo kodi huenda siku za usoni wakakosa uzazi ikatishia kupotea kwao dunianiusisahau wanalipa kodi